
Kijiwe Nongwa Ep 26: MIKATABA YA WASANII | SINGLE AGAIN.
Update: 2023-05-13
Share
Description
Tunaangalia jinsi ambavyo mikataba ya wasanii wa kitanzania na penginepo inavyoumiza na kushangaza. Ujio wa pili wa Amapiano na jinsi Single Again ya Harmonize ilivyosambaa.
Comments
In Channel



